Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, March 8, 2014

SHEREHE ZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ZILIZOANDALIWA NA CSO GENDER COALITION ZAFANYIKA LEO KWENYE VIWANJA VYA CHUO KIKUU CHA UDSM

 Mmoja wa waandaaji wa sherehe ya wanawake, Mkamiti Mgawe akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali ambao waliofika katika sherehe hizo zilizofanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wanaendelea na michezo mbalimbali walati wa sherehe hizo

Wanafunzi Mbalimbali wakifuatilia Sherehe hizo
Hawa na wanafunzi wenye ulemavu wa aina mbalimbali wakiwa wanafuatilia kwa umakini sherehe hizi
Mmoja ya walemavu akiwa amekonga nyoyo za wengi baada ya kuporomosha burudani ya nguvu.

No comments:

Post a Comment