Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.
Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo
cha gari katika Hoteli ya Shiva ya jijini Arusha na kuiba Laptop aina ya
Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi
ulianza siku ya ijumaa.
Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye
muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi
sasa msanii huyo bado yupo Lumande akiisaidia polisi
No comments:
Post a Comment