Mzee
Abdala Alli alikuwa mmoja wa waanzilishi wa timu ya Majimaji ya Songea
wana lizombe,yeye na wenzake watatu ndiyo walianzisha timu hiyo,Alikuwa
mzee Mbegambega,Mzee Mshamu wakiongozwa na Mhe,Laurensi Mtazama Gama hao
wote kwa sasa ni marehemu.
PICHA NA MPENDA MVULA.
Mmoja wa watani wa Kabila la Wayao akimpaka unga usoni mtoto wa Kwanza wa kiume Hamisi Abdala Alli,
Siyo Igizo ni utani kati ya Wamwela na Wayao.
Mfiwa uruusiwi kufuta huo unga ukifuta tu wanakuja na debe zima wanakumwagia bora uwe mpole.
Mzee
Abdala Alli muda wake mwingi aliutumia kwenye mchezo wa mpira mpaka
tatizo la upofu lilipompata ndipo akastaafu mambo ya soka akawa mshauri
tu kwa Viongozi wa timu yake ya Majimaji.
Mwili wa Marehemu ukitoka ndani ya nyumba yake.
Watu wengi walijitokeza.
Watani wa Kiyao wakishangilia.
Watani wa Kiyao wakimfuatisha marehemu alivyokuwa akitembea enzi ya Uhai wake.
Amezikwa kwenye Mashamba yake hapa Kipera Songea.
HAPA NDIYO MWISHO WA SAFARI YAKE MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMINA....
No comments:
Post a Comment