Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 26, 2014

TAZAMA PICHA ZA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WAKIMTUKANA DAVID MOYES

Shabiki akimtukana David Moyes

Kichapo cha bao 3-0 walichopata jana kutoka kwa Manchester City kimewakasirisha mashabiki wa Manchester United, na wameamua kuelekeza hasira zao kwa kocha Davidi Moyes na Sir Alex Ferguson.
Kufungwa huko kulipandisha hasira za mashabiki wa timu hiyo ambapo wale waliokuwa karibu na David Moyes walilazimika kushikwa na walinzi wakitaka kumshambulia huku wengine wakielekeza hasira zao kwa Ferguson.
Mashabiki wanalaumu uamuzi wa Ferguson kumwachia mikoba Moyes kama kocha wa Manchester United

No comments:

Post a Comment