Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 6, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 06/03/2014

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 06/03/2014.


[Mikoa ya  Morogoro,Lindi na  Mtwara]:



Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo mengi na vipindi  vifupi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Kagera na Mwanza]:


Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Kigoma, Ruvuma na Tabora ]:
[Mikoa ya Mara na Shinyanga]:



Hali ya Mawingu kiasi, Mvua na ngurumo  katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya ,Rukwa, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na  Singida]: 



Hali ya Mawingu kiasi, Mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua
                                                                         ANGALIZO:
  1. UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 30 KWA SAA UNATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA MARA, MWANZA, SHINYANGA, SINGIDA, DODOMA, MBEYA, IRINGA, NJOMBE NA RUVUMA.
  2. MVUA KUBWA INATARAJIWA KATIKA MAENEO YOTE  YA UKANDA WA PWANI  TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C                          
19°C               
12:43
12:51
D'SALAAM
30°C           
23°C
12:30
12:42
DODOMA
30°C
20°C
12:45
12:55
KIGOMA       
29°C
20°C
01:09
01:19
MBEYA
26°C
14°C
12:52
01:09
MWANZA
30°C
20°C
12:58
01:04
TABORA
32°C
19°C
12:57
01:07
TANGA
32°C
21°C           
12:32
12:42
ZANZIBAR
30°C           
25°C           
12:30
12:42

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Kaskazini- Mashariki kwa Pwani ya
                       Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki  kwa  Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 08/03/2014: Mabadiliko kidogo.  

 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/03/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment