Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 18, 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAIGWA

PG4A2437Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za Wiki ya  Maji nchini Machi 17, 2014.. Kulia kwake ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A2455Waziri Mkuu, izengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo  wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ya Shuguli za wiki ya Maji Machi 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


PG4A2474Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bomba la maji kuashira uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Mji Mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni Moja ua Shiguli za wikiya Maji. Kulia Kwake ni Waziri wa Maji na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)PG4A2497Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimtwika ndoo ya maji, bibi Emaculata Mazengo wakati alipozindua  mradi wa maji wa Mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwaikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji  Machi 17, 2014. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A2525Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia baada ya kuzindua mradi wa maji wa mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji  Aprili 17, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment