Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.
Helikopita Ikizimwa Moto
Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde hawa viongozi wetu wapendwa waliokuwa katika kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha za helikopita hiyo ikizimwa moto
Hali ikiwa shwali
Wanafunzi waliopata Division One St Mary’s wajazwa noti
-
Na Mwandishi Wetu
WANAFUNZI 30 wa shule ya St Mary’s Mbezi waliopata daraja la kwanza kwenye
matokeo ya kidato cha nne mwaka huu wamepewa zawadi mba...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment