Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.
Helikopita Ikizimwa Moto
Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde hawa viongozi wetu wapendwa waliokuwa katika kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha za helikopita hiyo ikizimwa moto
Hali ikiwa shwali
![]()
AJALI YAUA WATU 10 MOROGORO, 18 WAJERUHIWA
-
Farida Mangube Morogoro.
Watu kumi wamefariki Dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya
barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo Januari Mosi 202...
48 minutes ago

No comments:
Post a Comment