Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma kabla ya Bunge hilo halihairishwa hadi Agosti mwaka huu.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ezekeil Oluoch akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Asha Bakari Makame akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Andrew Chenge akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuongoza mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma kabla ya Bunge hilo halihairishwa hadi Agosti mwaka huu.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Suleman Jaffo akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge la Katiba Mizengo Pinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge hilo Godfrey Zambi wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Evod Mmanda akiwasilisha marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Seif Khatib(kulia) na Mohamed Aboud Mohamed (kushoto) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa mkutano hadi Agosti mwaka huu.
Picha na Bunge Maalum la Katiba
No comments:
Post a Comment