| Muda huu ndio mkutano unamalizika hapa chalinze mjini na huu ndio umati wa watu ambao walikusanyika kumsikiliza katibu mkuu wa chadema DK SLAA alipokuwa anafunga kampeni leo |
| mbunge john mnyika alikuwepo na alihutubia wananci ambapo amewataka wananchi kutokufanya makosa katika kuchagua mbunge wao akawataka wampe kura ya ndio mathayo torongey |
| peple powerr |
| muda huu ndio anaondoka katika uwanja huu |
| anasalimiana na wanachama kabla ya kuondoka kwenye kazi nyingine |

No comments:
Post a Comment