Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya
kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya
SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja
kwa moja na Kituo cha TBC.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.
CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG
CHANZO MTAA KWA MTAA BLOG
No comments:
Post a Comment