Kingdom Tower litakuwa na urefu wa feel 3,280 sawa na kilometer moja kwenda juu. Gharama za usimikaji wa jengo hili ni Dollar Bil 1,23 lita kuwa na floor 200, ujenzi wa jengo hili utatumika kwa zege na vyuma. Feel 5.7 zege itachukua nafasi na tons 80,000 ni vyuma vitachukua nafasi hadi kukamirika.Chanzo Bongoclantz
CDF MKUNDA AELEZA UMUHIMU WA JKT KATIKA ULINZI WA TAIFA
-
MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian akikagua gwaride kabla ya
kufunga mafunzo ya awali ya ya Kijeshi kwa vijana wa kujitolea Operesheni
miaka 60 ...
2 minutes ago
No comments:
Post a Comment