wasanii watano wanao kimbiza
kwenye filamu kwa sasa na wanaendelea kushika chati ya juu
1 salma jabu
nisha
2 jennifa kyaka odama
3 jackryn wolper
4 irene uwoya
5 wema
sepetu
hawa wanafanya vizuri kwenye filamu kwa sasa wakati huo nisha
anaonekana kung'aa sana kwa miaka hii miwili mfululizo kwa filamu zake
sokoni.
MiXX Yakabidhi Zawadi kwa Washindi wa Kampeni ya Kombe la Dunia
-
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya MiXX imeendelea kuwazawadia wateja wake kupitia kampeni ya
"Kombe la Dunia ya Ikiingia Tu... Golii!", inayowapa nafasi ya kujis...
12 hours ago






No comments:
Post a Comment