HAYA NDIO MAPENZI YA DHATI KWA TIMU;;TAZAMA PICHA ZA SHABIKI HUYU WA LIVERPOOL ALIVYOBAKI PEKE YAKE UWANJANI AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA TIMU YAKE KUTOA DROO NA CRYSTAL PALACE
Peke yake: mcheki shabiki mmoja wa Liverpool aliyebaki peke yake uwanjani baada ya Liverpool kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Crystal Palace jana usiku
Machozi: Jamaa alishindwa kujizuia na kumwaga machozi
Mikono kichwani: Shabiki mmoja wa Liverpool hakuamini kilichotokea
Shabiki yule yule alionekana akiwa amebaki peke yake uwanjani baada ya mashabiki wote kuondoka katika uwanja wa Selhurst Park
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment