Wachezaji muhimu: Daniel Sturridge, Luis Suarez na Steven Gerrard walijitahidi watavaa uzi huu msimu wa 2014/15.
Liverpool baada ya kukosa ubingwa, sasa wamezindua jezi mpya watakayotumia ugenini msimu ujao.
Kikosi cha Brendan Rodgers kilishindwa kuchukua ubingwa mbele ya Manchester City na ukame wa bila makombe kufikia miaka 25.
Liverpool hawajatwaa kombe tangu mwaka 1990
No comments:
Post a Comment