Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 12, 2014

MAITI YA MTU ASIYEFAHAMIKA IMEKUTWA IKIELEA NDANI YA MTO MZINGA, KONGOWE-DAR ES SALAAM



Kamera yetu leo hii imenasa mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam.
Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo ambayo waliikuta ikiwa imeharibika kwa kiasi kikubwa.

No comments:

Post a Comment