Walter chilambo mwanamuziki, mwandishi wa nyimbo, mwimbaji na mshindi wa Bongo Star Search 2012. Huyu ndio mama mzazi wa msanii huyu kutoka Tanzania. Anamwita Nyota ya maisha yake,Nuru na mwanga wake na anampenda sasa kama alivyoandika hapa.
” Nyota ya maisha yangu,Nuru na mwanga wangu nakupenda sana mama yangu,nakuombea maisha marefuuuuuu,yenye Baraka na neema ya mwenyezi Mungu sina mengi#lovemymom###mwaaaaaaa“
No comments:
Post a Comment