Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 16, 2014

SALMA JABU MAARUFU NISHA AWA GUMZO MTAANI KWA WATOTO



Salma jabu nisha Mwigizaji wa kike ambaye kwa sasa anakimbiza sana kwenye Filamu za kibongo na soko la Filamu Tanzania,watoto wametokea kumpenda kupita kiasi yaani sasa hivi amekuwa kero kwa watoto majumbani baada ya kushika ule wimbo wa filamu ya gumzo..
na kufanya watoto kupigana wakigombania dvd yenye filamu za nisha.Mtandao huu ulipoongea na camera man wake Kabuti Onyango amesema ni kweli kwa sasa Nisha Amekuwa Gumzoo kama jina la Filamu yake inavyoitwa kutokana na watoto kupenda sanaaaa Filamu yake hiyo.

No comments:

Post a Comment