Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, May 17, 2014

PICHA ZA MKUTANO WA UKAWA MKOANI ARUSHA

DSC_0242Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Dr Wilbrod Slaa akizungumza na wananchi wa Arusha katika viwanja vya Kilombero ikiwa ni mfululizo wa Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi iliyoanza juzi katika maeneo tofauti ya nchi. Katika mkutano wa Arusha Dr Slaa aliambatana na viongozi wengine kutoka NCCR Mageuzi na Chama Cha Wananchi (CUF) iliyowakilishwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Bw Mustafa Mwanri.

DSC_0210

Kutoka kushoto, Bw Elifuraha wa ArushaMambo Radio, Katibu wa Kanda ya Kaskazini Chadema, Mh Amani Golugwa na Dr SlaaDSC_0265

DSC_0297
DSC_0157Mwakilishi wa NCCR-Mageuzi
DSC_0163
DSC_0184Mmoja wa wageni waalikwa akisaini kitabu cha mahudhurio
DSC_0193 
Ulinzi ulikuwa ni wa uhakika kutoka kwa vikosi vya vyama vyote vitatu. Pichani ni kijana wa Redbrigade ya Chadema Bw George katika suti maridadi.
DSC_0308 

 
DSC_0195Viongozi mchanganyiko wa vyama vyote vitatu. Katikati anaonekana Dr Slaa akiwa kulia kwa Mbunge wa Moshi Mjini, Mh Philemon Ndesamburo ambaye amejitolea Helkopta yake pamoja na gharama za mafuta na rubani kuzunguka Kanda yote ya Kaskazini hadi Tarime Mkoani Mara.
DSC_0206

DSC_0200Mustafa Mwanri wa CUF akizungumza na wananchi
DSC_0235
DSC_0237 
Dr Slaa akikaribishwa Jukwaani
DSC_0250
DSC_0263

DSC_0226Mwakilishi kutoka Shura ya Maimamu akiwasilisha ujumbe wake.
DSC_0273
DSC_0323
DSC_0270Madiwani na na baadi ya viongozi
DSC_0166 
Mh Ndesamburo akifurahia jambo na mdau wa NCCR

No comments:

Post a Comment