Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, May 17, 2014

PICHA ZA SHEREHE YA KUMWAGA ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA



Hans Van Der Pluijm akiwa na Katibu Mkuu wa Yanga SC Bw Beno Njovu na Afisa Habari Baraka Kizuguto wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jioni ya leo makao makuu ya klabu ya Yanga SC

Cocktail Party ya Kumuaga Kocha Hans Der Pluijm iliyofanyika jana kwenye Ukumbi wa Mikutano uliopo makao makuu ya klabu. Kocha Pluijm alikabiziwa kadi ya uanachama wa timu ya Yanga pia katika hafla hiyo


No comments:

Post a Comment