Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, May 11, 2014

Rais Kikwete akutana na Rais Jose Eduardo Dos Santos wa Angola

D92A0582 Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santo akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda na kufanya naye mazungumzo .Rais Kikwete alikuwa nchini Angola kwa ziara ya kikazi ya siku moja(picha na Freddy Maro)D92A0592

No comments:

Post a Comment