Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 30, 2014

SKYLIGHT BAND WALETA HOMA YA BURUDANI NDANI YA JIJI LA DAR,NJOO UTIBIWE THAI VILLAGE IJUMAA HII KWA BURUDANI YA NGUVU

Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village
Aneth Kushaba toka kushoto akiongoza makamuzi Ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita
Joniko Flower kushoto  akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba
Joniko Flower akishusha Vocal za kutosha kushoto Sony Masamba  akimpa sapoti kwa kucheza
Hapo sasa Mzuka umeanza kupanda mpaka Sony Masamba kapandisha suruali juu chezea sebene wewe
Wewe Taratibuuu Taratibuuu Sony Masamba akiyarudi masebene ndani Thai Village Ijumaa iliyopata


Daudi tumba akizipiga tumba kwa ufasahaa mkubwa kabisaaa kutoa burudani kali ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita
Mpiga kinanda mahiri wa Skylight Band akicharaza vizuriiii vitufe vya kinanda hicho  kutoa burudani kaliiii ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita kwa mbali mpiga drums mahiri Idrisa akiwajibika
Donode mwenye tisheti nyeusi akizitoa vocal kali akipewa sapoti na Aneth Kushaba kushoto
Hahahaha weweeeee umeona stepu Izo za Aneth kushaba na Donode mwenye Tisheti nyeusi hapo ni kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village
Digna Mpera Mwenye Top ya njano akifuatiwa na Aneth Kushaba pamoja na Donode wakiwa na furaha teleeee huku  wakiyarudi mauno kuwapa burudani mashabiki wao  ndani ya Thai Village
Kibegaaaa Kibegaaa hapo ni Aneth Kushaba na Donode wakiwachezesha mashabiki wao ndani ya Thai Village
Raha kweli kweli hao ni mashabiki wa Skylight Band Dimo Debwe na Sillas Mbuya wakiwa na mdau wao wakipata Ukodak wa nguvu
Ukodak time  hapo Ni Aneth kushaba wa kwanza kulia,Winfrida Richard na Digna mpera wakifurahia miale ya kamera
Wadau wa Skylight Band Toka Kushoto Nkina, Dada Josephine na Mdau
Sam Masamba akitoa bass vocal ya nguvuuu ndani ya Thai village Ijumaa iliyopita
Sam Masamba akiendelea kutoa burudani ya nguvuuuu kwa mashabiki wake
Joniko Flower baba ya congo akiimbisha vilivyo na vocal zake kali
Kikuku uyooooo ana manyoyaaa uyoooo Kwiooo Kwiooooo staili tamu na inayo wakuna mashabiki wa Skylight ikichezwa vilivyo na Aneth Kushaba na Sam Mapenzi njooo Ijumaa Hii ujifunze kucheza
Chezea watoto wa mjini wewe unaona mastaili hayo makali ya vijana wa Skylight Band
Hapo sasa Aneth Kushaba akiongoza vijana wake kutoa burudani kaliiii ndani ya Thai Village
Joniko Flower akionyesha kwamba na yeye anaweza kuyarudi
Hapo sasa Jonikoooooo Viuono bila Mfupaaa
Aneth Kushaba aliamua kushuka stejini na kuamua kuyarudi akiwa chini baada ya kupagawa a mziki mzuriiii toka kwa vijana wake
Mikono juuu Mikono juuuu kama una furaha hapo ni mashabiki wa Skylight wakichezeshwa kwa Raha zaoooo
Kwa raha zaooo mashabiki wakicheza mziki mzuriii
Safiii dada akiburudikaa na mziki mzuri toka kwa Skylight
Nyomiii La kutoshaaa ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita
Hahaha Hapo ni mduaraaa unaanza taratibuuuu
Zungushaa zungushaaa mashabiki wakijipanga kuucheza mduara
Kaka hapo kati akiwa aurudi mduara kwa raha zake na dada kwa mbaliiii akikata viuno
Hya sasa kama una nyonga kweli shika kiti tuone kiuno chako lainiiii
Mpaka chiniiii mpaka chiniiiiiiiii hapo dada akionyesha umahiri wake kuusakata mduara

No comments:

Post a Comment