Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 8, 2014

TAZAMA PICHA HIVI NDIVYO NEMANJA VIDIC ALIVYOAGWA RASMI MANCHESTER UNITED

BEKI  na nahodha wa Manchester United, Nemanja Vidic ameagwa rasmi leo Old Trafford baada ya kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa mwisho wa nyumbani msimu huu na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Hull City.
Vidic amepewa zawadi ya shukurani kwa utumishi wake wa miaka nane katika klabu hiyo, huku akiwa tayari alishaaga.
Beki huyo alipewa zaidi hiyo na Sir Bobby Charlton kabla ya vijana wa Ryan Giggs hawajaanza mechi.
Hata kama beki huyo mwenye miaka 32 alianzia benchi katika mechi ya leo, lakini alipata nafasi ya kucheza kwa mara ya mwisho Old Trafford.
All smiles: Nemanja Vidic was given a present by Sir Bobby Charlton at Old Trafford on Tuesday night


Saying goodbye: The central defender is leaving at the end of the season for pastures new at Inter Milan


Surprise: Vidic started on the bench against Hull City but came on after an injury to Phil Jones
The final walk: Vidic began on the bench at Old Trafford during his last home game for the club

No comments:

Post a Comment