Jamaa akifanya kazi yake ndani ya hoteli ya San Raphael, mjini Sao Paulo
Holanda anaamini Ronaldo atakuwa fiti kusafiri kwenda Brazil, baaada ya nyota huyo kutolewa nje katika mchezo wa La Liga wa sare ya 1-1 dhidi ya Valladolid kutokana na kupata majeruhi ya nyama za paja.
Bosi wa Madrid, Carlo Ancelotti amempumzisha Ronaldo mpaka kwenye mchezo wa fainali wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya watani zao wa mji, Atletico Madrid, mei 24 mwaka huu, lakini sare waliyopata ilipunguza matumaini yao ya kuwaa ubingwa wa La Liga.
Sergio Ramos alivaa viatu vya Ronaldo baada ya kufunga bao dakika ya 25 kwa mpira wa adhabu ndogo, lakini bao la beki huyo lilisawazishwa dakika ya 85 na nyota wa Valladolid sorio in the 85th minute.
Holanda akifanya kazi ya kuchonga vinyago vya Neymar na Ronaldo
Nje: Ronaldo aliumia kwenye mechi iliyomalizika kwa sare ya 1-1 dhidi ya Real Valladolid
No comments:
Post a Comment