Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 21, 2014

Tazama picha za Diamond na Ommy Dimpoz wakiwa London Kwa Starehe Zaoooo.

Diamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30 za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director wenyewe, malazi, mavazi, kusafirisha watu kutoka Nigeria pamoja na mahitaji mengine.
Baada ya kazi Diamond pamoja na mshkaji wake Ommy Dimpoz wameshea baadhi ya picha zao wakiwa kwenye mitaa mbalimbali ya London Uingereza pamoja na video ya show waliyofanya pamoja London.
Screen Shot 2014-05-19 at 8.24.05 AMScreen Shot 2014-05-19 at 8.14.04 AM


No comments:

Post a Comment