Na Abdulaziz Lindi
Pichani ni Marehemu Hassan Hamis Dadi akitolewa kukimbizwa hospitalini baada ya kukatwa mapanga na mtu ambae hajafahamika aliemvamia akiwa kavaa Ninja akiwa shambani kwake katika kijiji cha Liteta Tarafa ya Mingoyo Lindi.
Mgogoro ni wa shamba la Chumvi ambalo kulikuwa na kesi ambayo ameshinda katika Mahakama kuu lenye Ekta 21.
Awali kabla ya tukio hilo Marehemu aliwahi pia kupigwa mapanga kuhusiana na mgogoro wa shamba hilo.
Taarifa toka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI, Renatha Mzinga

No comments:
Post a Comment