Waziri wa Afya Zanzibar Juma Duni Haji akitoa tarifa kwa wandishi wa Habari juu ya kupatika kwa wagojwa watatu wa Homa mbaya ya (DENGUE) Visiwani hapa, na kuwataka wananchi kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kuangamiza mazalio ya Mbu, kufyeka vichaka vilivyo karibu na makazi namengineyo ili kujinginga na kutafunwa na Mbu huyo.
Mkuu wa kitengo cha kuzuia na kudhibiti maradhi Zanzibar Dkt. Salma Masauni akitoa ufafanuzi kuhusiana na ugonjwa huo (kulia) Waziri wa Afya Zanzibar Juma Duni Haji.
Baadhi ya wandishi wakisikiliza kwa makini tarifa hiyo.
(Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment