Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, June 22, 2014

ARGENTINA WAIPIGA IRAN GOLI 1 BILA MAJIBU

Joy: Argentina's Lionel Messi celebrates after scoring the winner against Iran

TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kupata ushindi wa taabu wa bao 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Iran.
Bao hilo pekee la ushindi limefungwa na mshambuliaji wa FC Barcelona, Lionel Messi katika dakika ya 90 ya mchezo huo.

Kikosi cha Argentina (4-3-3): Romero; Zabaleta, F Fernandez, Garay, Rojo; Gago, Mascherano, Di Maria (Biglia 90), Aguero (Lavezzi 77), Messi, Higuain (Palacio 77) 

Mfungaji wa Goli: Messi 90

Kikosi cha Iran (4-2-3-1): Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Shojaei (Heydari 76), Teymourian, Nekounam, Hajsafi (Reza Haghighi 88), Dejagah (Jahanbakhsh 85), Ghoochannejhad.
Kadi ya njano: Nekounam,Shojaei
Idadi ya watazamaji: 57,698
Mwamuzi:  M Mazic (Serbia).
Drama: Messi cuts inside and lets fly with a left-footed shot in the final seconds
 Messi akifunga bao lake katika dakika za mwisho
Stunner: Iran's goalkeeper Alireza Haghighi is beaten by Messi's strike in injury time
Mlinda mlango wa Iran, Alireza Haghighi akishindwa kuzuia mpira  uliopigwa na Messi 

No comments:

Post a Comment