Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 3, 2014

BINADAMU TUMEKUWA WANYAMA:::PICHA ZA MTOTO ALIYEUAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI NA KUWEKWA KWENYE MIFUKO YA RAMBO

Wakazi wa eneo la Kawe na wapita njia wakiangalia kichanga hicho baada ya kuokotwa na wavuvi.
KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali juu kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara ya kwenda Kawe-Beach.

Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani.

(PICHA ZOTE: DEOGRATIUS MONGELA / GPL)


No comments:

Post a Comment