STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la
Kikosi Cha Mizinga, Mtu Mzima Kalapina anatumia vizuri uaminifu alioupata
kutoka kwa wananchi kutokana na muziki.Siku ya jana Kalapina ameanza kutumikia
tenda ya ulinzi na usafi katika kituo kipya cha Makumbusho, Jijini Dar es
salaam, kituo ambacho kimechukua nafasi ya kituo cha mabasi cha Mwenge.
TBL yang'ara kwa faida, Wanahisa waidhinisha Matokeo ya 2025
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Dar es Salaam. Tanzania Breweries PLC (TBL) imeendelea kuonyesha uimara wa
biashara yake baada ya wanahisa kupitisha Ripoti ya Wakur...
19 hours ago

No comments:
Post a Comment