Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la
Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda
mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye,
Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI
PEMA PEPONI. AMEN!
Kadi mpya ya NMB yafungua fursa za mitaji kwa wafanyabiashara
-
Wafanyabiashara wadogo na wa kati nchini wamepata fursa mpya ya kuongeza
mtaji na kufanya malipo ya ndani na kimataifa, baada ya Benki ya NMB kwa
kushiri...
6 hours ago


No comments:
Post a Comment