Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya akijibu Hoja za Wabunge kabla ya Bunge
kukaa na kupiga kura kuamua Bajeti ya serikali kwa Mwaka 2014-015.
Wabunge wakimsikiliza Waziri wa fedha Mhe Saada wakati akijibu hoja za
waheshimiwa Wabunge kabla ya zoezi la kupiga kura kwa ajili ya kupitisha
Bajeti ya serikali kwa mwaka 2014-2015.
Spika wa Bunge akiendesha kikao cha Bunge la Bajeti ya Serikali kwa
Mwaka 2014-2015 akisaidiwa na Makatibu wa Bunge mbele yake wakati waziri
wa Fedha akijibu hoja za wabunge.
Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya (aliye vaa kilemba) akitoka katika
ukumdi wa Bunge akiongozana na Naibu waziri, mara baada ya Bunge
kupitisha Bajeti ya Serikali kwea mwaka 2014-2015 kwa zaidi ya kura
miambili.
Maofisa wa wizara ya Fedha wakiwapongeza
Mawaziri wa Wizara yao mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya mwaka Serikali kwa Mwaka wa fedha 2014-2015.Na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Phpoto Solutions wawa kilishi wa Nichuzi Blog kanda ya Kati.
No comments:
Post a Comment