Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akikatautepe
kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza
kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto Mkurugenzi Mtendaji Bw
Steve Gannon.Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akifungua
kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha
Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.
Makamu
wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipata
maelezo kwa Inspekta wa Mazingira Bi Anna Mangara juu ya maji
yaliyosafishwa kwenye Mtambo wakusafishia Maji taka kwenye kiwanda cha
serengeti cha mjini mwanza.Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeticha mjini Mwanza.(Picha na OMR)Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib bilal wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Serengeti cha Mwanza Bw Nehemia Mchechu wakati wa Uzinduzi wa mtambo wa kusafishia Maji taka ya kiwanda cha aserengeti cha jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika
picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kike wa Kiwanda cha Serengeti cha
Jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment