Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikabidhiwa Usinga na wazee wa kijiji cha kisesa wilayani Magu baada ya
kusimikwa kuwa kiongozi wa kabila la wasukuma na, wakati wa Sherehe za kijadi na
maadhimisho ya siku ya ngoma na nyimbo za kabila la kisukuma zilizofanyika
Wilayani magu mkoani Mwanza jana.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipiga Ngoma kuashiria uzinduzi wa Mashindano ya Ngoma na
Nyimbo katika Maadhimisho ya Tamasha la Jadi la Wasukuma kwenye Uwanja wa Kisesa Wilaya ya Magu Mkoa wa
Mwanza jana.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia
Mtoto fredrik Emmanuel
Mara Baada ya Kumalizika kwa Sherehe za Uzinduzi wa tamasha la Ngoma na
Nyimbo za Kabila la wasukuma zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kisesa Wilaya ya
Magu Mkoa wa Mwanza jana
Baadhi ya
Wananchi wa kijiji cha kisesa mkoani mwanza, Wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, alipokua
akiwahutubia kwenye Uzinduzi wa
Mashindano ya Ngoma na Nyimbo za kabila la kisukuma zilizofanyika kwenye Uwanja
wa Kisesa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza jana.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia
Ngoma ya Kabila la Wasukuma wakati wa Tamasha la siku ya Bulabo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kisesa Wilayani
Magu Mkoa wa Mwanza jana.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na
wananchi wa kijiji cha kisesa baada ya
kuzindua Mashindano ya Ngoma na Nyimbo
za kabila la Wasukuma zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kisesa Wilayani Magu Mkoni Mwanza jana .
No comments:
Post a Comment