Eneo jipya la kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea
limetangazwa na serikali ya Australia baada ya taarifa mpya za Satellite
kutolewa.Kwa mujibu wa waziri mkuu Warren Truss, zoezi la utafutaji wa ndege
hiyo sasa litahamia Kusini kuegemea eneo la kilomita 1,800 kutoka Pwani ya
Magharibi ya Australia.
Ndege ya MH370 ilipotea wakati wa safari yake kutokea Kuala Lumpur kwenda Beijing Machi 8 mwaka huu ikiwa na abiria 239 ndani yake
No comments:
Post a Comment