
Baada ya familia moja kupatwa ni msiba wa kijana wao aitwaye HAMIS SIMWANZA aliyefia kwa mganga wa jadi kijiji cha legezamwendo ilisababisha familia ile kuhisi kijana huyo amerogwa ndani ya familia hiyo na kupelekea kubomoa na kuchoma nyumba za washukiwa hao ikiwa ni tarehe 29/05/2014 hata hivyo polisi wilaya humo walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha amani inarudi kijijini pale na kuondoa imani hiyo ya ushirikina katika kijiji hicho ambacho kipo mpakani kati ya Mbeya na Rukwa
Nyumba ikiwa imechomwa moto kwa imani ya Kishirikina
Nyumba Nyengine ikiwa imechomwa moto kwa imani za Kishirikina
Nyumba hii pia imechomwa moto kwa imani za Kishirikina
Nyumba ikiwa imebomolewa na kuchomwa moto kwa imani za Kishirikina
Hii ndio balaa lililolikumba kijiji hiki baada ya kushukiwa ni wachawi na nyumba zao kuchomwa moto
Mabaki ya Moja ya nyumba baada ya Kuchomwa moto
Bomoa bomoa ikiwa inaendelea hapa walikuwa wanatoa mapaa kisha kubomoa nyumba hizo
Walichoma kila kitu
Ni Uharibifu mkubwa
Nyumba zote hizo zimeathiriwa
Magofu baada ya kuchomwa moto
Polisi wakiwa eneo la tukio kushuhudia kile kilicho tokea
Hatari
Mke wa Marehemu Hamis Simwanza aliyefia kwa Mganga wa Jadi
Vitu Mbali mbali vikiwa vinachomwa moto
Ni uharibifu tuu
Shuhuda akiangalia uharibifu huo
Majonzi
Mama Mzazi wa Hamisi Simwanza ambaye alifariki akiwa anatibiwa kwa mganga
Hasara
Hakuna makazi tena
Picha zote na Rukwa yetu Blog



























No comments:
Post a Comment