Wananchi wakiwa eneo la tukio.
SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na
majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea
dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi
na majambazi hayo.Chanzo GPL
No comments:
Post a Comment