Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya
ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
leo(pich na Freddy Maro) .
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika hafla ya ufunguzi wa
Mkutano wa Mwaja wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy
Maro).
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bwana Ludovick Utouh
akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete na kuwatambulisha baadhi ya wageni
na viongozi waandamizi walioshiriki katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa
Mwaka wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano
wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.
Kutoka kushoto ni balozi wa
Sweden Mh.Lennarth Hjelmaker, mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Sweden
Bwana Jan Landahl, na watatu kutoka kushoto ni Bibi Lara Tayloir Pearce ambaye
ni mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali ya Sierra leone.
No comments:
Post a Comment