Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 4, 2014

KILI TOUR SASA NI ZAMU YA WAKAZI WA KAHAMA JUMAMOSI HII,SI YA KUKOSA

Baada ya kufanya yake jijini Mwanza sasa ni zamu ya wakazi wa Kahama kuishuhudia Kilimanjaro Music Tour 2014. Kahama tunawaleta kwako Shilole, Christian Bella, Madee, Mwana FA, AY, Rich Mavoko, Jambo Squad na Weusi. Ni katika uwanja wa halmashauri ya Kahama Jumamosi ya June 7 kwa kiingilio cha Sh 2500 Tu huku mlangoni ukipata Kili ya bure.

No comments:

Post a Comment