MSHAMBULIAJI wa Argentina, Angel Di Maria anatarajiwa kukosa
mechi zilizonaki za timu yake za Kombe la Dunia baada ya kuumia jana katika
ushindi wa 1-0 dhidi ya Ubelgiji mjini Brasilia.
Di Maria atakwenda kufanyiwa vipimo baada ya kuumia dakika
ya 33 jana, huku vyombo vya Habari Amerika Kusini vikiripoti kwamba mchezaji
huyo wa Real Madrid ndiyo ameaga Kombe la Dunia.
Argentina ilitinga Nusu Fainali yake ya kwanza ya Kombe kla
Dunia tangu mwaja 1990, lakini Di Maria hakushangilia ushindi na wenzake baada
ya kuumia na kutoka kipindi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment