Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, July 30, 2014

HOT NEWSS::::MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA AJALI MBYA YA GARI MOROGORO,PICHA ZA TUKIO HIZI HAPA

Hili ni gari la Noah lililopata ajali jana usiku wa saa 8 huko Morogoro Mtaa wa Mazimbu reli ya pili likiwa na vijana wanne ambapo mmoja wao kaaga dunia.
Hii ni nguzo iliyogongwa na gari hilo mara baada ya kuhama njia.
 
Sehemu ya ubavu wa kulia wa gari hilo ukiwa umeharibika vibaya.
Upande wa kushoto wa gari hilo
Raia waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia ajali iliyotokea.

No comments:

Post a Comment