Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 12, 2014

JEZI 3 MPYA ZA ARSENAL MSIMU WA 2014/2015

Baada ya kuingia mkataba na kampuni ya vivazi vya michezo ya Puma, The Gunners wametambulisha jezi zao zote 3 baada ya utambulisho wa jezi ya nyumbani wiki chache zilizopita
Kama ilivyotegemewa, jezi zao za nyumbani ni nyrupe na wekundu huku za ugenini ni mchanganyiko wa njano na bluu.
Timu hiyo inayoongozwa na Arsene Wenger pia imezindua jezi namba tatu ambayo itatumika zaidi kwenye mechi za ugenini mashindano nje ya Premier League zikiwa na mistari ya rangi blue bahari na blu ya kiza.
Kwa wapenzi wa Arsenal...imekua faraja kuona Sanchez akitambulishwa jana rasmi kama mchezaji wa timu hiyo na muda si mrefu ataonekana dimbani akiwa amezitinga jezi hizo.

No comments:

Post a Comment