Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 12, 2014

PICHA 30 ZA MAZIKO YA MMILIKI WA SWEET FM MBEYA MAREHEMU EMMANUEL JOSEPH MBUZA



Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza akiongozwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe


Kaka wa marehemu Emmanuel Mbuza, Oscar Mbuza akiongoza ndugu zake kuweka shada la maua katika kaburi la ndugu yake kwenye makaburi ya familia eneo la Kalobe Jijini Mbeya
 












Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mbuza ambaye alikuwa ni Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Jiji la Mbeya








 

 






 











 



  



 

Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Umoja akimkabidhi bahasha ya rambirambi mtoto wa marehemu Mbuza, Chriprin Mbuza








Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Sambwee Shitambala akimkabidhi rambirambi kaka wa marehemu Leonard Mbuza.


Mwandishi wa habari na Mwenyekiti mstaafu wa Klabu ya Waandishi wa Habari Christopher Nyenyembe akitoa heshima mbele ya mwili wa Mbuza.












     

Picha zote kwa Hisani ya Mkwinda Blog

No comments:

Post a Comment