Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 28, 2014

TAZAMA PICHA 5::KARIAKOO HAPAFAI HEKA HEKA ZAMAANDALIZI YA SIKUKUU





Pichani juu ni pilika za wakazi wa jiji katika mitaa ya Kongo Kariakoo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya Sikukuu ya Idd ambapo kamera yetu imewanasa wakazi hao wakifanya manunuzi mbalimbali kwa ajili ya sikukuu hiyo.

(PICHA NA GABRIEL NG'OSHA /…)

No comments:

Post a Comment