Mbunge wa Chalinze Ridhwani Kikwete kupitia ukurasa wake wa facebook ameweka picha yake ya miaka 10 iliyopita na kusema maneno haya
Growing
up in the party (CCM). Mwisho kulia nikiwa na umri wa miaka 13, miaka
22 iliyopita (mwaka 1992) katika mkutano wa Chipukizi wa Chama Cha
Mapinduzi mkoani Mbeya
UJENZI WA SOKO LA KIMATAIFA LA VITUNGUU SINGIDA KIPAUMBELE CHA CCM
-
Chama Cha Mapinduzi kimetaka kumalizwa haraka kwa ujenzi wa Soko la
Kimataifala Vitunguu katika Manispaa ya Singida.
Maelekezo hayo yametokewa leo tarehe...
45 minutes ago


No comments:
Post a Comment