![]() |
imekubali kulipa dau la pauni milioni 14.2 iliyohitajiwa na
Ajax ili kumsajili nyota wa kimataifa wa Holland Daley Blind.Kilichobakia sasa
kwa Blind mwenye umri wa miaka 24 ni kukubaliana na United kuhusu maslahi yake
binafsi na kwenda kufanya vipimo vya afya.United inaamini mchezaji huyo mwenye
uwezo wa kucheza kama beki wa kushoto, beki wa kati na kiungo mkabaji,
atakamilisha usajili wake kabla dirisha la usajil halijafungwa.Habari kutoka
Holland zinasema ada iliyofikiwa ni pauni 14.2 ambapo United ikathibitisha
kupitia akaunti yake ya Twitter kuwa wamekubaliana na ada hiyo na watatangaza
kitakachojiri hapo baadae.
|
DKT. MWIGULU AALIKA WAFANYABIASHARA WA UFARANSA KUWEKEZA TANZANIA
-
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaalika wafanyabiashara kutoka Ufaransa
wawekeze nchini Tanzania kwani ina fursa ya kutengeneza ajira, kuhamisha
ujuzi...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment