Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 1, 2014

HOT NEWSS::AJALI YA GARI NDOGO YATOKEA MDA HUU ENEO LA TAZARA,DEREVA ARUKA KUOKOA MAISHA YAKE

 Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.


 Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio.





 Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara.


Ajali ya gari dogo imetokea jana majira ya saa 10  za jioni katika maeneo ya Tazara jijini Dar es salaam. Dereva wa gari hili (Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN) aliruka mapema kabla ya tukio kutokea na alikuwa peke yake.Kwa mujibu wa mashuhuda ni kwamba, dereva alipoteza muelekeo ktk kulikwepa gari aina ya fuso lililokuwa kando ya barabara.Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment