Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB "akitema yai" wakati akitoa mada yake kwenye wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Rais Kikwete akimpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB akisalimiana na Bi Sri Mulyani Indrawati baada ya kutoa mada yake katika uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro
Rais Kikwete akiendelea kumpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro.
NA MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment