Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, September 12, 2014

PICHA YETU YA SIKUKWA MWENDO HUU TUTAPONA KWELIIII...?

Tazama mbeleeeee kabisa mkono wa kulia kuna MaLori Makubwa yanakuja tena yanashuka mlimani na Hili basi linaovertake  zaidi ya magari matatu,Je hapo pia tutasema ni mipango ya Mungu kweli? 

No comments:

Post a Comment