Mtangazaji wa Clouds TV, Lady Haha (kushotoi), akifanya mahojiano na Davido muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wa Habari wa Global Publishers LTD, Musa Mateja (kushoto), akiwa na Davido muda mfupi baada ya kutua jijini Dar es Salaam.
Davido akionyesha tisheti yenye maneno ya kauli mbiu ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014, mara baada ya kukabidhiwa na mmoja wa wahusika wa tamasha hilo.)
Davido (wa pili kutoka kushoto) akijadiliana jambo na wenzake baada ya kutua kwenye Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, usiku wa kuamkia leo.
Davido akizungumza jambo na meneja wake sehemu ya VIP ya Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kutua nchini Tanzania.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL.
No comments:
Post a Comment